Kutokana na kuwapo malalamiko mengi kuhusu wagombea kuenguliwa, Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Mohamed Mchengerwa aliongeza ...
Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kifungo cha maisha iliyotolewa kwa wanandoa, Shamim Mwasha na mumewe Abdul Nsembo ...
Licha mifuko ya uwekezaji kuwa na faida nyingi, kumekuwepo na mwitikio mdogo wa wananchi kujiunga nayo huku elimu ndogo ...
Matumizi ya mkaa na kuni, mbali na kusababisha uharibifu wa mazingira, yametajwa pia kuwa chanzo cha magonjwa manane ya mfumo ...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa ...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Bubelwa Kaiza amesema chama hicho kinapaswa kutumia njia tofauti kutanzua migogoro.
Washitakiwa wawili waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manne ya kusafirisha kilo ...
Kuuziana maeneo bila kushirikisha viongozi wa shehia, kumetajwa kuongeza uvamizi katika maeneo yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya miradi ya jamii.
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka wauzaji wakubwa wa kemikali kuacha kuwauzia wauzaji wa kati na ...
Mke wa marehemu, Noela Mafuru na watoto wake wawili ambao ni wasichana wakiwa na wanafamilia waliingia kwenye viwanja vya ...
Yametimia, Yanga imemtangaza kocha raia wa Ujerumani Sead Ramovic kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyetupiwa virago.
Wafanyakazi Wawili wa Benki ya NBC, Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ...